![]() 13 Katikati ya vile vinara, nikaona mtu kama mwana wa Adamu, amevaa kanzu ndefu na mkanda wa dhahabu kifuani. ![]() Na nilipogeuka, nikaona vinara saba vya taa vya dhahabu. 10 Basi, siku ya Bwana nilikuwa katika Roho, nikasikia sauti kubwa kama ya tarumbeta nyuma yangu 11 ikasema, “Andika haya yote unayoyaona kwenye kitabu, kisha ukipeleke kwe nye makanisa saba yafuatayo: Efeso, Smirna, Pergamo, Thiatira, Sardi, Filadelfia na Laodikia.” Sardi, Filadelfia na Laodikia.”ġ2 Ndipo nikageuka ili nione ni sauti ya nani iliyokuwa ikisema nami. Niliwekwa katika kisiwa cha Patmo kwa ajili ya kutangaza neno la Mungu na kumshuhudia Yesu. 8 “Mimi ni Alfa na Omega,” asema Bwana Mungu, “Aliyeko na aliyekuwako na ata kayekuja, Mwenyezi.” Yohana Alivyopata Ufunuoĩ Mimi ni Yohana, ndugu yenu na mwenzenu katika mateso, na katika ufalme na subira kwa ajili ya Yesu Kristo. Hata na wale waliomchoma mkuki na makabila yote ulimwenguni wataomboleza kwa ajili yake. Utukufu na uwezo ni wake milele na milele! Amina.ħ Tazama! Anakuja katika mawingu! Na kila jicho litamwona. Yeye anatupenda na ametuweka huru kutoka katika dhambi zetu kwa damu yake Ħ akatufanya sisi kuwa wafalme na makuhani, tum tumikie Mungu Baba yake. Kwa Makanisa saba yaliyoko Asia: Ninawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu aliyeko, ambaye alikuwako na atakayekuja na kutoka kwa wale roho saba walioko mbele ya kiti chake cha enzi ĥ na kutoka kwa Yesu Kristo ambaye ni shahidi mwaminifu, wa kwanza kufufuliwa kutoka kwa wafu, na ambaye ni mtawala wa wafalme wa dunia. Salamu Kwa Makanisa SabaĤ Kutoka kwa Yohana. ![]() 3 Amebarikiwa anayesoma maneno ya unabii huu na wale wanaosikiliza na kuzingatia yale yaliyoandikwa humu, maana wakati umekaribia. Kristo alimtuma malaika wake amjulishe mtumishi wake Yohana, 2 ambaye ameandika yale yote aliyoyaona, yaani ujumbe wa neno la Mungu na ushuhuda wa Yesu Kristo. 1 Huu ni ufunuo wa Yesu Kristo aliopewa na Mungu ili apate kuwaonyesha watumishi wake mambo yatakayotokea karibuni.
0 Comments
Leave a Reply. |
AuthorWrite something about yourself. No need to be fancy, just an overview. ArchivesCategories |